Said Said

JohnWick (08:30)

Said Said
JohnWick (08:30)

3 Plays

2 months ago

siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kazi nikuchezewa akili tena ni vigumu upate anayekupenda kweli,siku hizi nikuwekwa benchi live,sikubali lie live life,,,mtaani kote kazi ni udangayifu,wengi wao wao wanatucheza wanatumix mix, wadada wanacheza na hisia zetu,alafu sisi men tunafight kwa sababu yao,tunamalizana alafu tunaisha,hainahaja tupigane tunywe pombe eti tunaondoa stress,tushikane mkono tujenge taifa,siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kazi nikuchezewa akili tena ni vigumu upate anyekupenda kweli,,leo leo sijana ni leo ilinipate dem cute so nahitaji kufanya kazi kwa akili na bidii,ndio nipate donge poaa, ili nimaintain moyo wangu usigongwe na tructer,alafu naomba Allah anipe fahamu kwa akili yangu,siku hizi hakuna mapenzi ya kweli kazi nikuchezewa akili tena vigumu upate anayekupenda kweli,

1 Comments

Leave a comment

You may also like