Felo felix

Felo ozzy...mapicha

Felo felix
Felo ozzy...mapicha

6 Plays

3 months ago

felo ama yelo ah, dogo wa kero amekuja na mayelo,,na spendi kero,, ukitaka yelo njoo kwa felo melon,, kuja kama felo sija utangoka meno,, alafu untozi ama utatoa chozi,, uku amna stori kurusha na kujikoki chunga sana boy,, mana utaliwa phone wafuasi tuko on,tena paka jioni ,,ukipiga call,, jua tushakurost,, kwetu atuchongi shada na full dose,, mii nikiwahole nikiroll na matoy,, matoto yenye poz,,alafu niko on chunga boy felo akikock toi,,jua kuna chozi sicheki namabaloz,, felo boy ozy ukimuona amepiga koti,ubavuni airforcy,, we jua kuna shoti,,nisha choka na bitozi mshenzi mana haoni, nimefight paka chozi ili asitoe chozi, lakini ye aoni anataka vya ndotoni Aliadhisia story ili kuwe na ugonvi,,siku yakufatia Nikafikiwa na story, bsi Felo kumbe S juzi bana kahongwa na chaes lakini kwenye akili bado anawaza kwa Fe Nikafuahi kuyasikia nikaweka no sweat,ila mungu atalipia mana Sihishi na case,, kwasababu za dunia, Felo boy mnanijua mana naishi na dua,,, kila Atua Dua kama Nchako utatusua

1 Comments

Leave a comment

You may also like