Said Said

never lie (23:53)

Said Said
never lie (23:53)

5 Plays

4 months ago

nikimbuka ile day nilikuwa high school, nabaki na mawaazo mmmh mawaazo x2,mamono walinitambua kwa kunita mr begi mabuti,nikitembea ni kama nakimbia wanabaki kushangaa mabeste,kisa kila sunday nilivaa full uniform well takin and discipline,licha hayo yote nimefanya mazuri shule bado mwalimu mkuu kanifukuza shule kwa sababu nimekosa karo,wala sikutamani atambue kuwa mi najitafutia karo,mi sioni haya ngo Kama boiler mayai nimeuzaa,,kama mjengo nimejenga nikakoroga zege,alafu nikawa mgumu wa maisha,licha hilo tu mi bado nilikuwa mtundu mtukutu mi kutu kutu ,nikimbuka ile day nilikuwa high school, nabaki na mawaazo mmmh mawaazo x2,wakati huo namwona mama baba simwoni,nikimuliza mama baba yu wapi ananinyamazia oh no huku nangana mtaani kumtafuta lakini simwoni,najipa moyo one day nitamwona,kaka na dada nao siwanoni wameenda na baba ooh mama ananificha mimi, ooh mama nambie angalau nijue machache kuhusu familia yangu, nambiee nambiee wamekukosea?ama umewakosea?au walifariki nambiee.

1 Comments

Leave a comment

You may also like