Developer
Developer

3coins

3coins

12 Plays

18 days ago

along way ya safari ndefu na uchovu Bidhaa adimu yenye uhalisia wa kusolve tabasamu usoni unaficha makovu Dukuduku Sina Visasi wala chuki na uovu From underground Nashika Zana bila authority Vina vikali vinapsha sauti ii Ni kukanya kufunza nakujali Sio sifa ndio auipati kwa majority Nawapa time wanao sema m siwez Nawapa time urafiki wanafki Wakupretend Ni power time Ndio mana mingi yanachange Mnao mtka fame nawapa time Mtatrend. Hii ni revolution Kuepuka na miyeyusho Kwnye mizunguko kusaka Tonge kusurvive Mipando na mishuko. Watafyta midomo yao Watashutup Wakikuona umepata Bila msaada wao. Itawauma itawaumiza bado Wakikukuona unaenda up zaidi yao Hawakufikii aushkiki sio hadhi yao Watalonga kwa chuki na hasira Kw maumivu na kuzira Umbea kama aljazeera Zaidi pombe ya wivu Watailewa tirarira Mwanangu kaza Fanya kile unachiwaza Aya ndio maisha yako Umweke nani wa kwanza u r born to live born to strive born survive that you r born ready zipo xbabu zakuchakarika nisitulie zipo xbbu hiphop nijiimbie so kuigiza sifanyi mnavo fnya nyie hiphop hiphop is lifstyle anaetaka kula atakaribia mezani alie na haja atakimbilia chooni msafiri nia aliye bandarini ukinataka subscribe Ali Athman mpaka Lithoz itikadi wanaiujua njoo breezy michakato wanaitambua 3coins pole pole tu inakua inacome come come to over Black Money Industry inazidi kua 420 ino vision haijapotea 3coins pole pole tu inakua inacome come to take over 3coins big up u r not done 3coins under pressure kusaka money 3coins big team 001 inacome come come to take over

2 Comments

Leave a comment

18 days ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like