Developer
Developer

Jaribu by Developer

Jaribu by Developer

15 Plays

19 days ago

giza likizidi Kunakaribia kupambazuka Kupanda nimehimili Zishindwi pakuteremka Baada ya dhiki faraja Shida zo wa nafurai waja Waeke chuki Unapopanda daraja Nnacholilia tu n pate mkate Aste Aste mambo yajipe angalau mdomo nao Ung'ate Shida ndogo ndgo nizikate Atleast Home sometimes nao Wabadilishe mate.. Ndio, Kupambna is hard task Ila pia ukiwa broke Inaleta ugumu zaidi Ni njia gani hapa utajikimu Unavyokua Yanazidi Zaidi majukumu Tunavyofanya tunavijua sisi Tu naendelea hatujali tunavyohisi Tukifanya wanaona n rahisi Hawelewi maana Nasi hatu wapi maana halisi Safari ya kesho uanza leo Hata nikifa sijafaulu Mujue I was die trying Fursa ikitokea tumia inavyopaswa Kabla kujutia wakati na nafasi ulizoacha Leo Nafuta jasho kwa tabu Ili kesho isinikute kwa Machoz na ghadhabu Na itafika time hamunioni Naingia chaka nijiset kiuchumi Labda sitokua machoni Ila Kwa wanaonipenda Siku zote ntabakia moyoni Ntakuepo musinitafute Upendo wa dhati N lionyesha musiufute Musijali nipo Shujaa wenu ntalilinda Shina ili mti usianguke Nina mana rasmi situmii nahau Situmii methali ama mafumbo mkasahau Isipoelewa Aikuzungumzii ww Kama inakuhusu endeleza usichelewe

2 Comments

Leave a comment

19 days ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like