miqizy

heart of art

miqizy
heart of art

6 Plays

4 months ago

mda mrefu nilitaman kupata mic am asking who is good and nice trap trap imeniingiza kwenye art na sas vitu moto like racing car yeah i beleive kila mara naomba kwa jah niish ki star ni trend kwenye mitaa siish kaza ndonga ili nisilale njaa ni bang ki star a boogie wit dah naitaji ku fly yeah i going high masihala meng biskut ndan ya chai kuna masela wanapinga ndio sikatai naongelea mafaniko now am gonna try bebe bebe za mtaa zinaona si fai wasubilie nikikaba kiuno na kunyong tai nikiwa ndan ya taxedo mkonon ice tray mda huo sijui mtu pisi mbov hazikai nitaishia kuwasabahi nawapa hai grass tint sina habar nikiwepo usikae mbl nitakusanya izo troph sitegemei lost then nijulikane kama uwepo wa bahar sawa naona mnanitisha nyie majin jogoo akiwika mtaumia hamuwez amin baada ya fungu la 10 utoe sabini mdomo utepete uweke na vipini put in so what naomb unitolee ushamba kama mchawi uje kabix umejipanga kikubwa uxije umejifunga kanga sabab me mwenyew mtoto wa tanga na hii game kiukweli nimeipania na vitu hadimu kama chozi la ngamia kwenye vita najua kuna kuumia nimenawa mikono na pambano kwenye sinia am here

1 Comments

Leave a comment

You may also like