Said Said

Anticipation (13:02)

Said Said
Anticipation (13:02)

7 Plays

4 months ago

nimetoka mbaali mi mi bado naenda mbaali,hata niwambie ni sijui ka mu taelewa,mmmh mmmh yeah,hisia ni zangu si zenu,mawazo ni yangu si yenu,mengi nayo jua ni yangu,mengi munayojua ni yenu,mi nachoamini mengi yenu ni yenu,kidogo napenda nifanane kama nyinyi lakini wakati mwingi najielewa mi ni mimi,siforce vituko nisivoweza nafanya vile sana naweza,siambiwi sana nachoelewa naelewa sana nisichoambiwa,nimetoka mbaali mi mi bado naenda mbaali,hata niwambie ni sijui ka mu taelewa,mmmh mmmh yeah,nikipatwa nashida mi lazima nijatutue mwenyewe,hakuna wakunitatua mimi,shida yako wewe unaelewa fimbo ni fimbo ka na shida yako,wao wanaelewa fimbo si fimbo ni kamba mana si shida yao ni yako,nimetoka mbali mi mi bado naenda mbaali,hata niwambie ni sijui ka mu taelewa,mmmh mmmh yeah,matatizo yako si ya kila mtu wengine hawana matatizo tafadhali usikeshe ukiwaeleza,pambana we pambana peke yako,usidhani mungu amekutupa wewe ni mitihani anakupa umkumbuke,asipokupa mtihani utamkufuru elewa hilo elewa tu,kila mtu anangangana afike pale basi we tangulia pale ufike mapema pale,nimetoka mbaali mi mi hado naenda mbaali,hata niwambie ni sijui ka mu taelewa,mmmh mmh yeah.

1 Comments

Leave a comment

You may also like