skutta

33 Plays

3 months ago

mwanangu ana chana kinoma ,mpaka masela wanakoma demu wangu kukicha na muonga,akiingua geto atakuma maneno kubao verse kibao,ukiita police nini unaona mwanangu anachana kinoma mwisho wake skutta anakuja na chuma anaunga natela,aah anatupa mangoma mistari hatari mpaka madem wanasema, cheki!!!!! mtoto amejaza making king, mpaka macho yangu yana feel sin, kwakuwa mwanagu ni extra, sijawai kupitwa na mbwa yeyote, na ngoma na flow zina trend, usiku mchana nina spent, sijali salama sijali upepo utamu na pata ndani ya geto guchi masnoo, maisha ya chini masnichi kibao, mchicha kabichi na bado mbichi, maisha mafupi na muda ni mchache, mcheki , mtoto ana smile kwa vile ana check, maisha mazuri na bado ana range, alafu skutta anayo na benzi, hafosi muziki ana haso mademu, vikwazo maneno maisha ni stand, mwanangu ana chana kinoma ,mpaka masela wanakoma demu wangu kukicha na muonga,akiingua geto atakuma maneno kubao verse kibao,ukiita police nini unaona mwanangu anachana kinoma

7 Comments

Leave a comment

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

3 months ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

3 months ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Great 🎉

You may also like