Mwanthi
Mwanthi

life is good , God is great

life is good , God is great

12 Plays

1 month ago

life is good , God is great even though wawili wameenda tayari najua God ukona plan hatari hakuna cha minus najua ni a blessing in disguise many a times mimi hujipata nikiwonder bila inspiration lakini upon looking inside napata majibu yakiningojea nimeiweka imani yangu kwako mungu kwame sitishiki nilikataa agenda zao sa sina amani wanapo ni piga na soma dua najua mungu ndio mpaji na hicho kipawa wanaitumia vibaya kwa utiaji kuipinga mikakati vengeance ni yako mola najua i am who i am na thru discernment sita judge hawa watu lakini wakipersist nita have kudim there lights mimi ni dereva na bado konda naeza wafikisha afterlife aftermath orders zenye nilichukua lazima aim ingekua straight mpaka bro alikua ananicompare na agent 47 mukuro naye alikua anasema mimi na yeye tunaishi in two separate worlds coz alijaribu kuniongelesha but hangenipata akilini nilikua possessed na dreams za kugentrify the block na masomo haikua inasolve hyo equation so chini ya maji across vijijini na magwinji tukiwa vijiti cables zilikua plugged in ndani ya socket na ever since kumekua na nuru gizani across the continent in a certain way niligeuza trend ya dunia kept it one hunnid ata wakati pressure ili build up

1 Comments

Leave a comment

You may also like