salum rajab

I'll need

salum rajab
I'll need

9 Plays

5 months ago

I'll need Na ile siku tunaona so nika kosa chaku fanya nika kufata nikupe hi yo whatsp ume pendeza baby mama nimekuona kwa mbali na ilo shepu umeni changanya Nime shindwa kukaza na hayo macho uki nitazama Nika kuuliza unaitwa nani ukani kazia Nika omba namba ya simu uka nitajia nikaona nisepe zangu na wanangu tuka jiachi ukani text badae how are you doing nikajibu fresh vipi nijiandae nije tuona nika ona sio kesi upo clasic clasic ukafanya nione ka ndoto nikasema mahaba niuwe kiasi cha kunigand huyu mtoto usije sahau ata waki sema geuza changa moto jiji la mahaba toka manza bey magoto all i need one minit kuwaza kwa makini usisikilize cha kiambiwa ata kama waki sema nini

1 Comments

Leave a comment

You may also like