Developer
Developer

Effort Developer

Effort Developer

12 Plays

2 months ago

Afirialo mjinga linalomtokea Ujanja n maarifa Kujenga na kuendelea Mtazamo hujenga future Usipojua unapokwenda Hauwez kupotea Maisha safari lazima uyapitie Kukata tamaa Itafanya uyajutie Effort yangu ntapambana Nifikie nitakapo bado Muimu nifanikiwe Ofcourse wapo waliosanda nakudata Wapo waliochoka nakuacha Karibu tu nakupata Nao tamaa wakakata Karma Yanayoniumiza ndio yanayonifunza kunikomaza Kunitengeneza bingwa, Nafasi ipo aujashindwa Bado Ujachelewa bora pumzi unavuta Akuna anae fanana nami Akili inavyofkri najijua mm Wala sishindani nanyi Nataka kua strong zaidi ya wa Jana mimi Amua kukoma au kukomaa Maneno husemwa Vitendo huonyesha zaidi na Fikiri kabla kutenda ongeza maarifa zaidi Matayarisho mbaya Uleta matokeo duni Akili unayo kama Unambinu buni Ongeza juhudi Punguza matarajio, Vita vya sasa Sikupigana mwenzio Vita vya Sasa Si chuki tu Kisha vilio Vita vya sasa Pigana na umasikini Pambana Jitoe chini Uletee mafanikio Race imeanza tunasonga no kungoja Nonstop no kusita No kulemba Vina natema Kuwakilisha mahustler Wanangu wa 3 coins I hope izi ndo fikra sio Kiki wala sifa Ii Itakuepo kukupa ww motisha

2 Comments

Leave a comment

2 months ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like