Chilled

1 Plays

2 months ago

Yeea Ati Angle si wa western Asha anaskip to the next slide Ukisleep si ni normal Kuconshum kwa mushuam ni common Ulikam wrti early Early bird anainama saii Ghaii Siwezi kubali Ningerudi on nikom July Ati shule ni ya nani Ukiearly si ni funny Ama unadhani kuna rally Ghaii Niko border na siatki kuchoka Nina OMA uku om na sa siwezi ku kusoma Nina enda nikingoja tu samoja nicheki Chelsea kigonga tank moja Chiaa Ati finance ina nani bingwa Mi nilidhani ni topic ya social media Watu wa memes woiii Naacha shule iii ngoori Napiga nikipigwa napigana na kushinda na mashida kamaisha kanaiva na gas inaisha chiiia Ninacome kichwa nikipita na madilers madirisha zina crack nikicome ninarun kama kama fan wa man u kwa uwanja sala sala sala nimefunga toka Jana sasa nimadai kuacha ii upuz Am going back home na siruud Mi ni fan wa team ya giruud Ngalaz ako German alienda last month Niliota ivo nkaskia alarm Ka uko kayole unaplan supper Ni nan sasa

1 Comments

Leave a comment

You may also like