Food of tough
0:00
0:00

Food of tough

2
15

#foodoftough Food of thought, Ni maarifa tu tunasaidiana Huwezi jua leo kwangu kesho kwako but who cares Less if I could count Don't count on them Juu ya fame watadai kukusaidia when it's clear wanadai kukuibia, Coz they gonna lead you the wrong path, wewe imagine if it's someone from your fam Wengine watakufunga mbawa usipepee Usiende far But trust me Hiyo nguo unadai kuvaa utavaa Ukikaa mgumu kuamini msee mwingine ka si Mungu Wataishia kwa mganga si chocha Eti ndio uwache kuota Eti malipo yako iwe kusota Ni life Utawasaidia But maybe watakuibia Ni dunia Msee unampea koti time ya njeve Ndie anakuitia manjege mnapelekana hadi kwa mbwenya wewe imagine Huwezi wasoma akili Ndio maana watakuchocha na mwili Akili msee Usiwai tamani kukuliwa na ndani remember your friend could be your enemy Siwezi kuchagulia but macho isikuchoche Wengine walipotelea kwa raha wakasahau karaha hukam Pesa, Kiki, si fiti Mpoa wako anadai kutaste bunduki tofauti Juu ya nini Wengine walifunga ndoa na DOH Wakafungia uchumba MLANGO Dick_ tionery ilichange kwa wetu madem Urembo iko ni walet Mi nishasaka Wewe bado unataka Ni Akale, the silent noise maker

2 Comments

Leave a comment

Let’s GOOO 🍿

1 month ago

You may also like