Kifalu Kalama
Kifalu Kalama

gitar hiro

gitar hiro

48 Plays

2 months ago

Ni gitar ni gitar hiro ni gitar hiro ni gitar hiro yeye anajua kucharaza gitar ndio mana hachezei muda muda wake wake anajua ku piga music poa poa. Ni gitar ni gitar hiro ni gitar hiro. KJK siri siri siri siri za maisha siri siri kimbizana na wakati usipoteze muda muda muda muda ni pesa muda muda . Wenye pesa hua hua wa kimbizana na wakati hua hua hawapotezi muda muda wa ko busy kutengeneza pesa. Ni gitar ni gitar hiro ni gitar hiro . Yeye hapotezi muda muda wake wake ndio mana ana save music wake wake kutengeneza pesa pesa. Wewe kijana wacha wacha kuzubaa. Kilasiku wa poteza muda muda wako wako kuzungunga mitaani na kucheza drafti. Muda muda ni pesa muda muda wacha wacha kuzubaa na kuchezea muda. Kaka zangu wacha wacha kuchezea muda muda dada zangu wacha wacha kuchezea muda muda. Marafiki zangu wacha wacha kuchezea muda muda.

3 Comments

Leave a comment

2 months ago

Fiya 🚀 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

Respect 🤜🤛 Amazing 💎 Money 💸 HEAT 🥵 Money 💸 Amazing 💎 Respect 🤜🤛 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

2 months ago

Ni gitar ni gitar hiro ni gitar hiro ni gitar hiro yeye anajua kucharaza gitar ndio mana hachezei muda muda wake wake anajua ku piga music poa poa. Ni gitar ni gitar hiro ni gitar hiro. KJK siri siri siri siri za maisha siri siri kimbizana na wakati usipoteze muda muda muda muda ni pesa muda muda . Wenye pesa hua hua wa kimbizana na wakati hua hua hawapotezi muda muda wa ko busy kutengeneza pesa. Ni gitar ni gitar hiro ni gitar hiro . Yeye hapotezi muda muda wake wake ndio mana ana save music wake wake kutengeneza pesa pesa. Wewe kijana wacha wacha kuzubaa. Kilasiku wa poteza muda muda wako wako kuzungunga mitaani na kucheza drafti. Muda muda ni pesa muda muda wacha wacha kuzubaa na kuchezea muda. Kaka zangu wacha wacha kuchezea muda muda dada zangu wacha wacha kuchezea muda muda. Marafiki zangu wacha wacha kuchezea muda muda.

You may also like