G MAMBA
G MAMBA

nozol 2

nozol 2

8 Plays

2 months ago

G mamba ndo mwambao nahii freestyle nakufunga kama bao mnajifanya mmepinda mnaroho za farao mnaunda vina feki nkiwa kasi mnareki hamjui kujiseti shhh nshakimia mda mrefu kahesabu na herufi nkakuta msela sifi jela langu la boarding na hamna la day nikigonga hizi vass namuacha bila say, tapatapa kama fala kila jambo ni okay hodihodi la ustar lishakua kama ndoto g mamba nachukua nlikula sana msoto nipe bangi sili rungi ukiniona akili nyingi nachanganya kama kegi alafu sivuti fegi enzi hizo daa pegi unawatoto kama bengi nashaangaa maisha gani na mungu ni wabaraka mbona siwa G mamba

1 Comments

Leave a comment

You may also like