DADYLOKI62

effort 1

DADYLOKI62
effort 1

23 Plays

7 months ago

Kama kawaida michano hapa ndo kwao Poleni haters napapariza nnavyo know Ipo swadakta nafanya nnavyo taka Na burudani ndio sasa furai upate afya Nafanya nnachopenda ndio mna najivunia Ipo haja ya malengo Ipo njia penye nia Kabla ujatenda fikiria Ili upende unachofanya unarudiarudia Life michakato 2nahustle kitambo Kabla kua gado tunazd fnya mambo Street life, street run, Street puzzless Streets words, street love And passion We move on sote tumetoka far Ndoto nlonayo inafnya nakomaa Lengo ni moja geto angamiza njaa akuna jibu kabla swali Nani sie taka furahaa Yanayo niumiza ndio yananifunza Kunikomaza kunitengeneza bingwa Nafasi ipo kadri pumzi unavyo vutaa No kulemba no kusita Wasiliana na juhudi mafanikio yanakuitaa Isi fame wala kutaka sifa vina natema kuwakilisha Toka shkadabu na adabisha Wanngu wa 3 coins I hope izi ndo fikra Money world Money love Money pleases me Ukipata in coins round to nearest millions

2 Comments

Leave a comment

7 months ago

Killed it! 🎯 Killed it! 🎯 Killed it! 🎯 Killed it! 🎯 Killed it! 🎯 Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

7 months ago

Kama kawaida michano hapa ndo kwao Poleni haters napapariza nnavyo know Ipo swadakta nafanya nnavyo taka Na burudani ndio sasa furai upate afya Nafanya nnachopenda ndio mna najivunia Ipo haja ya malengo Ipo njia penye nia Kabla ujatenda fikiria Ili upende unachofanya unarudiarudia Life michakato 2nahustle kitambo Kabla kua gado tunazd fnya mambo Street life, street run, Street puzzless Streets words, street love And passion We move on sote tumetoka far Ndoto nlonayo inafnya nakomaa Lengo ni moja geto angamiza njaa akuna jibu kabla swali Nani sie taka furahaa Yanayo niumiza ndio yananifunza Kunikomaza kunitengeneza bingwa Nafasi ipo kadri pumzi unavyo vutaa No kulemba no kusita Wasiliana na juhudi mafanikio yanakuitaa Isi fame wala kutaka sifa vina natema kuwakilisha Toka shkadabu na adabisha Wanngu wa 3 coins I hope izi ndo fikra Money world Money love Money pleases me Ukipata in coins round to nearest millions

You may also like