Smutha Salim
Smutha Salim

smuthstar

smuthstar

30 Plays

3 months ago

smutha preacher tosha kwenye kipaza still bado naelimisha ,mitaa naiwakilisha gee sioni wakunitisha ,kuchacha nachana kwa sana tena vina vya maana ,wasanii kibao lakini hawana maana ,hatutabishana nabandika funika track kutoka zama ,wasanii fek washaanza kuhama ,peace love and harmony napeleka marapa mitini ,usifitini muziki wa smutha balaa hufukuzaga hadi majini,huwezi rap hicho kipaza please Bishoo hebu kiweke chini,umezaliwa leo na uko na mbio unataka tembea tangu lini?marapa wakiniona wanaogopa utadhani wameona majini,nina swag imani bidii plus najiamini,maneno yako hayawezi nipiga na chini ,muko na chuki yanini ,?na hamuezi kua ka mimi,hamuezi hata fikiria so tusiongelee speed yangu ya ulimi,kila nikishika kipaza naelimisha plus naburudisha,me ndio star tosha ,hapa muziki na maisha am 2 proud kama sugu,marapa wame hush utadhani mabubu,hiphop inanihusu nyii wote marukufu ,nyii wotee makurutuu,.......hatuwataki na huku kama ni luku napiga luku ya bei mbaya,...hiki kichwa kibovu hakiwezi leweshwa na moshi wa kaya ,pigeni midomo ka malaya ,niko vacation nimechill sina stress za nini mambo huku ulaya,kama hiphop ugonjwa me ndio dawa ,mnavoiua hii hiphop mazee siwezi kubali zii hi sio sawa,talent ya mtu haiozi na iko wazi ,penda ukipendacho hata kama ni kuchonga viazi ,muziki ni biashara kwenu ndio maana mko na misimu,kwangu ni passion na talent nilionayo sijafosi kitu mtazidi kula ndimu ,hiphop kwa damu uliza rapdamu kufoka me hufoka bila kuchoka kama wazimu,vina navyotema adimu,kila mitaa inaniheshimu,michongo kibao 24,7 hunikosi kwa simu,nyii kapigeni gym kuuza sura me nasaka mkwanja nipate more mulla ,chuki zenu hazifanyii nikose kula sishangai kuona mkifura,am born winer hata step huwezi tembea ndani ya zangu ndula,wenye nguvu wako futi sita chini na jela,mitaa natoka pesa ndio huongea ,so bakini ka wamama wa chama mkipiga umbea ,smutha am out of this bitch maniga,iga ufe kufa uzikwe smutha star balaa.unyamwezi mwingi hapa huwezi kataa navyongaa balaa kitaa, chorus,,am straight soldier hoja zenu sio hoja,hiphop na me forever flows zangu same na river, ukiskia 2 jua utani salute ju me ni soldier,4ever,my niga me ni soldier4ever,×2 am out of this babylon law niite makaveli,mfukoni sikosi ganja kama 2pacs ,paparazzi iteeni watu telly ,kama muziki ni jela niwekeni ndani kama vile r kelley, hii jamii ya kishetani washenzi hawapendi ukweli,ndoto yao kubwa wakuone ukifeli,pweza na papa hawaezi zuia kuvuka likoni kwa ferry,serekali yote ndani yake matapeli ,wanauza kila kitu mpaka madawa wagonjwa wanakufa kila siku kwenye hospitali ,tembea mandera barara hakuna na haijengwi tutatembeaje kwa miguu basi na jua nikali??nimengi kichwani maswali hakuna wakujibu isipokua kua Mungu ndio mana hunikosi mosque nikisali,watoto wanaua wazazi wao sababu tuu ya Mali,bibi yako anakusaliti pia sababu tu ya pesa na Mali,upendo wa kweli kwa yoyote una thani kushinda nyumba pesa au magari ,lakini tamaaa ya utajiri wa haraka bibi yako atakuruka atakuita rapist akuone ukifia jela au ka mwizi uchomwe na matairi,reason kutaka kukurithi,till I die sitaki rafiki juu wote hawanifai hakuna salamu wanakujia kwako more than hicho kikombe cha chai,believe u me duniani mamako pekee ndio anayekupenda kwa kila hali na anakujali,,smuthstar music 2 the world

1 Comments

Leave a comment

You may also like