G MAMBA
G MAMBA

👹 very soon

👹 very soon

8 Plays

3 months ago

hii haiimbwi wala haichezwi beat liko eazy nalichana kilevi wako wapi sioni walodai ni wahuni leo nawachamba wko kanda barani aisey sina time na mafala mzee niacheni ni hasol mnichunguze nikitema kwa mitambo mnichunguze niki use mashtim mnichunguze mafala macho kodo wananiroga kwenye beat kali hii mi naioga naskia wanahaya wanashoboka nikitema hizi vitu wanatoroka mungu wa baraka mbona si g mamba niombee konda nkonde kama mgomba tukiwa kwa studio tunafanya marumba niimbe mbebe mseme ni mzembe hip-hop naioga

1 Comments

Leave a comment

You may also like