Makaveli Ramah
Makaveli Ramah

mbulu unleashed

mbulu unleashed

2 Plays

5 months ago

Yo Lewy cheki bling ni masilver Ni mabati imejaa kwa meno Kuzoza juu walai nimetoka far my bro Kuwasosi juu walai wamekuwa mob bro Rasta nimekuwa nikisaka target Number 1 nimechill , namedi gizani Napima kiboza nikijaza smoke Shhhh....Nilichizi bro Sahii nikirudy kwa hio keja Nimembulu naseti nimembulu bro magram Mwaka sita nimewaka juu walai nikuhard My Bros...., Ali alikuw kwa game Alikuwa mkidi akichoma kiboza Mbula akuna story, alimbulu washoo Alfu kuna cuzo Bro anapenda von Jaribu kubonga walai Hitham anapita na wewe Wera nastruggle tuko on Ni flow zinakam mob Yo.. Tulikuwa solo me na my mother Since nimekuw mkidi Sahii nacount ni madigit Round 1 nacheki madollar Skia sasa si mimi Cuzo chunga rooftop Usiku tukiseti mapera Yo bro Nikubad kwa my family Baba ni mimi Big boss ni Amu cuz Yola ni my friends Kupiga sherehe juu ni best

Be the first who leave a comment.

Leave a comment

You may also like