G MAMBA
G MAMBA

god fast complete

god fast complete

12 Plays

4 months ago

mungu ulie juu we ndo baba wa taifa huu mwaka tuepushe namaafa hususan sisi wamasafa tuupe nguvu wanyonge wenye wivu japo tunaseve nifunike na mbawa wachawi wasinione atlist na sisi tupate tunone kukicha tukiamka mbeleni tuonee twaskia uko juu na hatujui una duu si ucheck venye life iko juu check twapamba wengi wanakazana eneza baraka ndo mwaka wafanaka mungu baba nitaje marasaba pumzi Lucifer anatukaba mungu baba hata mm na babangu twakuita baba niondolee mikosi pia hata nuksi ponya wa virusi life iko kasi ina kaa farasi njoo unibebe kama rose muhando ye siopopi kuabudu mpaka nife kando nlianza na mondo, agano jipya nalo home bibilia naaminia unasaidia japo kwa mafumbo uko kwa kanisa na huelewi mambo

1 Comments

Leave a comment

You may also like