dunia

76 Plays

6 months ago

hii dunia ni kungangana hakuna nafasi ya kutafutana,wala usife moyo wakikutukana,siku yako itafika alishapanga Maulana ,chorus ×2 hii dunia bana imejawa na wanyama sio binadamu bana,chuki ndani yao imewajaa hawana upendo bana ,jirani yako rafiki yako adui yako bana ,usife moyo kwa chochote ukifanyacho tia bidii,omba Mungu akuongozee kenye njia ilio sahihi, ukiamka mzima sema alhamdulilahi ,wengine hawakuweza amka wako mortuary, mpaka dakika hii ndani ya safari hii namwamini Mungu peke yake,binadamu bila kitu Huna maana kwake, maisha kupambana bana ukizaliwe kidume changa moto ,japo msoto kimangoto bado tunafuata ndoto ,one day inshallah naamini mambo yatajipa ,umwombacho Rabana wala hawezi kosa kukupa,kwa akili plus bidii na maarifa nitafika mikwaja nitashika range benz mpaka bugatti nitapeleka,ziara mpaka America nyimbo zitasikika ,siwezi give up me fighter mpaka kufa,life is not fair wakati uko njaa wengine chakula wanatupa, usife moyo mama usilie alichopanga Mungu ndio atakupa,tuliza akili wacha presha Mungu dereva tosha ,maisha tunaishi kwa neema ,life real mazee usidhanie ni cinema ,tenda wema nenda kwa heshima,, utu uzima sio mwili ni hekima,hujafa hujaumbika usiwacheke na vilema,waskizee usipuuze wazazi wako wanavyosema,usilipie ubaya kwa ubaya fuata njia njema ,maisha utulivu ustarabu adabu uvumilivu jua subira huvuta heri ,kwa heri au kwa shari abudu Mungu ye ndio Tajiri,anastahili

5 Comments

Leave a comment

6 months ago

You UP 📈

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

6 months ago

Savage 🔪 Word Up ⬆️ Bars: On point 🎯 Delivery: Nice 🌟 Impression: On point 🎯

You may also like