Nasty Hill 666
Nasty Hill 666

pumbavu zako

pumbavu zako

1 Plays

8 months ago

unajiita viasco boy na kwa beat haungati mistari imelala kaa wakenya na uchumi bado unafoci genge pia yenyewe hauwezi itabidi uende class ukafunzwe kuwa shabiki huyo dem anamsifia mwanzo nikadhani ni pisi macho kama gaidi sura nayo ni fisi tena kapata bwana njaa ka ya fisi kabla hujanikuta jua hamer si chizi kutwa mitandaoni yuchubu na ig unachoposti mi sioni maana hakina deal mi kwako si shabiki na tena sio g maybe uache mziki ama uchange ligi nigga unafoci luku na bado haina show na tena una bidii kote unapigashow kama unataka mziki kuja hamer akushow sio tu kutoa hiti buda unawaste doo hata my young brother you can never match his flows, i call him number wan coz i know he is the boss brush your teeth coz we tired with the floss or next time ill feed you to the dogs najua huradi ingoso maana sio levle yako ama nikuite mbosso blanda sio type yako we bro rudi bondo taita huna chako ama ni juu naskia ulifukuzwa na babako tena ukiskia hamer jua huyo ni kifo maana naeza kuchana mpaka ungoke jicho tena naeza kupiga nikuvunje hiyo shingo nyimbo zako ni mbaya itabidi urudi jiko hii game haitaki ufoci kama unataka flows jifunze kupambana maana kaa kuna chozi jua kuna uchokozi unaweza pewa mondi ikubebe kama lorry hata ukibisha hodi bado hujakaribishwa jifunze kuwa holy umaarufu usiufoci isije ikakukosti ulitaka moto buda usihepe moshi hizo ngoma unazotoa waliziimba zamani maana ukireserch ni bora jua kali nyote mkipewa beat atakufinya mahali you better change nigga ama uchujwe kaa majani at first nilikushow ngoma zako ni simple nikakushow urekebishe na mistari zako zi mingle lakini hukuskia ni juu nigga una ego punguza hiyo kiburi uone kaa hutaitwa hero ngoma yako ya barobaro jua bado iko low mistari ziko shallow hapo nitakupa no unatry kumake it right but bado uko rong mtafute simple boy maybe akufunze kuflow all in all irespect unatry kutusupport kwanza kuanzisha hiyo group nigga ulifanya best lakini si expect na wewe uanze loose kwa hii journey tushikane kwani umoja ndio best

1 Comments

Leave a comment

You may also like