Mandara Media
Mandara Media

Sp@rk D feat habari moko moko

Sp@rk D feat habari moko moko

4 Plays

8 months ago

nina habary moko moko huwezi timiza kazi kama askari choko juuu ya daftari ninatafakari msoto kwa mistari mitamu mimi ndo Saprk na move maka dance nawapa hisia kari zaidi ya muvi za mikasi kwenye chart zao ao ushindani sifanani nao mimi ni zao ao ni nyasi mwana harakati kikosi kama siasi mistari inasiri nzito kama boksi ra lisasi jiniasi nilifeli ku pass masematic hii kwa ote wanao kubari sio flani na flani waipende mi ndo moko makutano ya mistari kama stendi ya mwenge yafanya wengi waende mbali,waache wachache wakae kizembe

1 Comments

Leave a comment

You may also like