youngfashion918
youngfashion918

outro (B)

outro (B)

28 Plays

8 months ago

Hey jiaa me hufanya NINACHO jiskia ukikatiza njia zangu jiandikie umesha umia chaku kuokoa we kimbia tena izidi mita Mia hamia uko upande wangu nisoo yani Kuna ile mambo Zaid yakutoana roo broo hujaskia me ni mnyama mwenye roo tisa niko zaidi yakutisha shughuli yangu inapo fanyika panatisha hakuna kinacho bakishwa Shang Shang like teCher big for the future anae wawakirisha wafalme weto but I'm not jasus sio kwenye mwanga sio kwenye giza I'm play sison na dili nasula zao zote Yan fock donk like nyani huto nisoma sparing zangu huwa nacheza out Nomar ukishtuka umevimba domo Nikama somo lenye vimelea vyakonyo onyo, nayajua mengi ndo mana nikawa mkubwa wamambo najua kua kitakacho kufaa siku zote nichako na chakupewa hakizibi tako kwenye maisha anae kusaidia ndio wathamani kwako na ushindi unapambaniwa Inuka uskae kitako

1 Comments

Leave a comment

You may also like