Uyox Rich
Uyox Rich

x don't lie

x don't lie

38 Plays

10 months ago

ex you never lie,onaonekana tu jinsi ulivyo shake mi nsasema bye bye nsamove on wala sikukumbuki we fanya yako uwahi m naenjoy zitakuchelewesha chuki naona drama sio love usingekimbia na kiniacha kwenye dhiki usipige pige simu ,nani kakupa hii namba unanikata stimu my wife asije ibamba vip bado hujamaliza kila mtaa ulivyonichamba nlipokuwa chini uliwapa namba wanaotamba nlikuacha kila kitu nlianza na ukurasa mpya mungu mkubwa kina thamani pengine unachotupa usifosi love tafadhari,zilikuponza pupa nani arudie matapishi now mambo yangu supper chukua time,nitabasamu na anayeninda usiogope mizigo na umechagua mwenyewe kuwa punda unapiga piga simu,na sms kila saa au umepandwa wazimu umesahau ulivyonikataa nkishakata simu naibrock number yako ananipa vyote my wife sina time na michepuko nshabaki na hamsini zangu kama vp nawe baki na zako mi nshamove on, nimempata mkali wako ex you never lie,onaonekana tu jinsi ulivyo shake mi nsasema bye bye nsamove on wala sikukumbuki we fanya yako uwahi m naenjoy zitakuchelewesha chuki naona drama sio love usingekimbia na kiniacha kwenye dhiki nlikuwa radhi nijinyime, ili wewe ucheke unachotaka nkupe nlinde penzi usichepuke nnapokosa mshike mshike unakuwa danga sio mke leo uataka nini nna pisi kali staki mkweche acha nicheke ni kipi sasa kinakiliza salio linakaribia kuisha kwa makini ebu sikiliza we si ulizani mapenzi movie,ndio ukaanza kuigiza nlikuwa natembea na amani kwenye giza nifiche wapi sura yangu madanga yako yanavyonibeza umezidi kunifuata fuata ndio maana nimeshindwa nyamaza nliteleza afu unataka nitudisha kule kule maarage ya mbeya kila men kwako straiker mayele nimejifunza kutokana na makosa ukunipenda mimi ulizipenda pesa hukuwa na cha kungoja nlipokosa endelea na maisha yako umechelewa kugundua makosa

1 Comments

Leave a comment

You may also like