Jimmy Ryzz

jimmy ryzz-- life

Jimmy Ryzz
jimmy ryzz-- life

23 Plays

11 Jul 2023

Kwa hii life,/Rafiki usiwatrust, wakisnitch unawachuja, bora tuh unajitambua Kwa hii life, Nigga kuwa mreal,/Uwe busy tuh namishe hamna time ya kuwaste,.. Mungu Hanyimi chance bora nigga tu unahitaji,rizik Binadamu, agawe kwa kwel Itakuwa utiaji, so pambana uvikwe taji haya maisha kaa maradhi, ukichunga yatakuchuka nakwambia tuh kishikaji,Bidii kwel unaifanya shetani anaifanya zaidi so usigive up we pambana IPO siku utafaidi, juu unahopes za Kusurvivor ziko mungu ndo Ana guide,kumake it na wee ni time kwa hii case mi ndo shahidi Kufail kwa life ni crime usilale ata utaikibidi,ndo daily tuh kwa my lane ukinicheck tu nko speed, Sina dream za kuwa fame nataka Kumjengea mama,naishi tuh shame sijui lini atahama,

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

Real

You may also like