🎤djcoolbgmen🎧
🎤djcoolbgmen🎧

Djcoolbgmen -navumila chapta2

Djcoolbgmen -navumila chapta2

11 Plays

03 Jun 2023

Navumilia kila mateso napitia navumilia kila mateso napitia oooh... binti fulani nilimpenda lakini yemwenyewe kanitenda Binti mwenzenu nilimpenda lakini yenyewe kanitenda Alisha agaenda mwenzake mimi naumia Alisha agaenda mwenzake mimi naumia Binti fulani nampenda lakini alisha nikimbia Binti fulani nampenda lakini alisha nikimbia ooooh mamaa naumiaaa... ooooh mamaa naumiaaa... Wewe tu usio taka nifanikiwe wejua tu mtoaji ridhiki ni mola ila mola anazidi nishika jua kwamba navumilia ooooh.. naumiaa ooooh ... navumilia sana mybu fanya urudi uje nitibu navumilia sana mybu fanya urudi ujenitibu kutwa kucha naangaika kitandani wala siwezi kulala Nasononeka naumia nikikuwaza nazidi kuparara ooooh.. mwenzako naumia miee.. minalia ooh ...mwenzako mi naumia miee.. minalia oooh.. mwanzo ulinambia haya mapenzi nisawa na wimbo mzurii.. hauwezi chuja sasa iweje leo umeamua kunikimbia mi nabaki naumiaa.. oooh mi nabaki naliaa.. ooh haya mapenzi ulionipa nalile dimbwi la ukiwete ulilo nitumbukiza hukujua kwamba nitaumiaa aaah.. wewe mama mbaya aaaah.. tena huna hata haya aaah... navumilia mateso ulionipa hayafiki kikomo naumia sikujua mwisho wetu kama ungekua huo ooooh.. sawaa navumiliaa. .. yatakwiaha tuu .. yatakwisha tuu..

1 Comments

Leave a comment

You may also like