LOUD GST #18SMB
LOUD GST #18SMB

Loud GST - Hatukai sana

Loud GST - Hatukai sana

6 Plays

03 Jun 2023

hatukai sana umezoea kuniona sana sunana, sio kma jana tunaishi fast yani sana tu×2 makini sana, usiwaze yaliopita ya jana hatukai sana.. tunaishi fast yani sana tu naona kma ameogopa nkimvuta goma, hataki kushika nimemtishia design ya jeeper creeper ni jana tu, homeboy alileta mdomo akaroekwa, sababu alitaja jina hawaku mfyekwa.. RIP fyekafyeka nyali west ni k town, sema hatukai sana mandembele aliwateremesha. hapo mwazo nlikua freshi, najimix na watu wema, yule boy uliemjua, harudi tena alisepa na siwezi kuwapa location, askari kidole, unioteshe kw mbongo badae ulete shobo nlisema kma ni opps, shaba zitafika headshots, nawavuraga ubongo mukituna sura mwaweka usongo. na siwapi pointi.. trap kwenye life, maisha tight, najilodi tick buti nike, color splush dully white, pamba tu za thug life. napenda numbers mavumba mavumba.. pisi kali na mipesa mingi, pande hizi ni gangsta party. sana vibaya nimepashanga.. jilete mwenyewe si we ni kichaa, don't come close watu ni wabadi budaa, wakikosa pesa wapoloo wanakabaa, sana tu, fully wababa moja kali tunijikataa, hatukai sana nishawarusha tumevukavuka mipakaa.. tuko mbele vibaya yao sana tu hatukai sana umezoea kuniona sana sunana, sio kma jana tunaishi fast yani sana tu×2 makini sana, usiwaze yaliopita ya jana hatukai sana.. tunaishi fast yani sana tu

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like