LOUD GST #18SMB

kitaa changu

LOUD GST #18SMB
kitaa changu

25 Plays

01 Jun 2023

my hood.. we mbona unabwata mbona kama unasema ukweli ama unabahatisha my hood hatukupi viza.. my hood hakuishi visa.. walitutoa kwa picha.. my hood hatuna nyingi bichi langu dume maisha kma karata, tunaishi kubahatisha madogo wanakua fasta shilng shilng wanazisaka, wapate nusu za mashada na nusu ya kitepa, alafu hatupendi favours tumesha korogeka, tunaskia mombasa raha na bado hakuna njema bichi linapendeza, mabitch wanavaa madera.. mabitch watakulengesha , masnitch ni ma bitch....... tuko LA masela ...001 bichi la watengwa ukizozaa unabwagwa waswzi wanabonga sana, wahuni sio maneno, ni vitendo. daily mikosi, kwa ramani chafu huwakosi, polisi wanapata kazi,, za kiwanja hatukati.. daily tunaenda nduki.. kuna machimbo tafu na machimbo kizazi,.. trap life ya kihuni nishavalishwa bangili wakazivua na tembo mbili.. watu wanakula bati.. daily wanshikana mashati, ukiwa chini utabaki, unyamwezi humalizi... nko upande wa pili,.. likoni napuliza moshi... kongowea magetoni ujanja toka utotoni.manigga wangu konki.. change hawa regeshi watu wamejimix, kokote mm kambi,... passion kwa thugg.. uhai mungu tu,, kwetu ni blessing.. gunshots dengeni alikua jobless... saluti sura ya kazi ubavuni na tozzy... anga za bad lands, streeti miondoko, tukishakula pamba. mbele yao twawachora.. buffalo kwneye kona,, mateja wanakula ngada.. matozi wanapija panga. wanangu wengi blacks.. kwetu pesa ice.. mwanangu dully white.. kimash hataki shash.. dudus kw mista I narov natumia mabonyo, sikosi miondoko, ukiona mtu mbili ushaona mobb gwasto na galo boy daily tuko rong, RiP youngbloody hassano, Flagi ndongo ndani ya smobb, haipotei boy..

5 Comments

Leave a comment

1 year ago

what are benjis for?

1 year ago

ey váto

1 year ago

KILLED IT 😵

You may also like