LOUD GST #18SMB

Rada chafu

LOUD GST #18SMB
Rada chafu

25 Plays

30 May 2023

njo ucheki mi nnavyo ifanya wakijisahau napita nayo sibongi sana, sio local, sifanani nao ukijipa time sio madharau, wakinikataa ni mpango wao naikibidi nawapija mabao nafanya vitu vimetoka ground.. mi naona poa niamke asubuhi roster pacco, zigi na bom, cocktail, inikabe koo, niamshe kichwa nishakula moyo... we unajua venye wahuni wamefanana wote wanauza roho, hatuoni kitu port kuna fog, ground zimemea moss hakuna vijana mabuda ni ma moles wanaenda door to door kma jemba na hakuna patrol.. wauliza mi ni driller nshaona mapicha mwanangu aniamue vita badae anapijwa tembe ya kichwa, we unajifanya mshipa utamaliziwa clip uanikwe status, hukujua unapendwa RIP wanakufanyia favour unakua celeb, siku moja, na ndio haurudi tena, ujumbe na complex message puuzia kma ni plibien, we ni pleb.. ukiona wadhii wamefanya na we unataka kua kma wao, tabia yakuiiga usipojishtukizia mwana utapijwa nao, shirt ya lovwe nimevaa in nd out itanichora imechafuka na bloods... toka niingie 20s siko safe nikigongana na maiti opps nimejilodi nko na self defence haijalishi ni gani kma ukivutiwa zuna vuta bunde ukiwa mbali.. ukitaka kuuwa nyani usimwangalie machoni.. weh huogopi si uliuwa watoto chooni.. njo ucheki mi nnavyo ifanya wakijisahau napita nayo sibongi sana, sio local, sifanani nao ukijipa time sio madharau, wakinikataa ni mpango wao naikibidi nawapija mabao nafanya vitu vimetoka ground mi naona poa niamke asubuhi roster pacco, zigi na bom, cocktail, inikabe koo, niamshe kichwa nishakula moyo... ile story ya kuponea mobb imenieka strong nko poa.. imefanya nko cold sibongi sana life naisoma. marafiki wachache alama ya gang nimeichora na mate, sijawai taka effort ndio nipate ushindi, nimekalia throne I've been chilling, maisha ya kuharibu chance ni moja nlizifanya mbili, na waswahili wasikueke kwnye ulimi, usipojifiche hutoboi siku ya pili, wakitaka location ni 001 natulia sana ubavu wapili, southeast.. north west nko na triggez, ni mzae na hawezi acha kublez si tume kwiva, nikiingia kwake huwa nishazoza, nisha buruza, washkaji wasenge nimewapunguza, hakuna support munachunguza, ndio maana sisemi kama minasepa..

6 Comments

Leave a comment

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

1 year ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

You may also like