#intro

70 Plays

07 May 2023

Walisha tabiri nitaferi nikawahaki kishia hawakuwa sahihi mnyama natamba na iko hurutu hatashingoni me sina Kamba naenda nao samba MBA ninapo Toa mguu ukiuweka umeuchana msamba nahapo lazima tu utajamba mbambamba pigo zakusanda uvikwe Sanda futi Sita ulale nasijuu tena yakitanda itawabamba watazamaji wata shindwa hatakujaribu kwakuufia kuyazama maji nikipaji namimi mimi ninakipaji ni zaidi ya mtaji huu juzi si kwamiruzi mbuzi mbuzi aisee we nimjuzi unavyo kunyaga majani naku noga kwenye mchuzi,, We mpuuzi me siwajana toka majuzi nasukuma gurudumu larap mangosha wanausoma moto huu hauzimwi na maji yakuchota labda ulete ziwa kuuubwa ukishindwa bahari si spid wala vina nipimieni contreti siwezi tosha nitazidisha na zaidi ushawahi shindwa mmbaka ukawa usumbuki ushawahi kupigwa mmbaka ukawa usumbuki yukky

10 Comments

Leave a comment

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

1 year ago

Bars: Dope 🔥 Delivery: Dope 🔥 Impression: Dope 🔥

You may also like