Jimmy Ryzz

jimmy ryzz__life

Jimmy Ryzz
jimmy ryzz__life

27 Plays

19 Apr 2023

Xxxxx Kwa hii life,/Rafiki usiwatrust, wakisnitch unawachuja, bora tuh unajitambua Kwa hii life, Nigga kuwa mreal,/Uwe busy tuh namishe hamna time ya kuwaste,.. Mungu Hanyimi chance , bora nigga 2 unahitaji, Binadamu agawe rizik, kwa kwel Itakuwa utiaji/kutoboa mpaka jasho /Nakwambia hamna magic, Ndo Maana Maisha fumbo , mpaka usiku huwa mchana /Ndo Maana siezi giveup, Kila siku napambana /Asubui nyota njema jua Khali mi lanichaoma, Nikifail Nitaanza Tena, Ndo maandiko yanvyosema,/Adhana inapoitana we Ninani wakupingana *Ndugu achana mikwara, lasivyo utaenda hasara, Na focus bila weather na bado natoa ishara,Nimekosa Ata peace, peace, kunywa Supu utaweza, Nilikotoka nifar, najua siezi choka Nipiga dua daily, Adhana inaponiita Ndo Maana siezi fail,mngoa rail, Inawatisha, mama akaniombea heri

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like