#rap dj

54 Plays

14 Apr 2023

One tow one tow nasimamia mayki niko vyome lete fyoko fyoko ujikute maiti eti wana Sema huyu jaMaa hana hata bint hafu mikwara Mingi au nihizo ting nti sjawahi kusubiri kupata NINACHO taka nasaka kisaka au niite Kwame ikurunga flani hivi wa next Levo kwa Michano, Namba yangu bad moja nawagombea wanangoja nasiongei upuuzi NINACHO speek kinatija skurupuki huuu moto ukiuvaba hakianani hutoki mZima aisee nitakuzima kama mshumaaa kwa upepo yanitu hautakwepo habaliyako imekwishaaa na kama unabisha we jaribu, Nilishapambania Nile nikashinda mmbaka nanjaa sasa weeukinambia yulee a naweza kufanya mambo yakafaa mee nitazugatu Ila sitakuonyesha kama nakataa usinifoc kwa Imani yako menajua inayo nifaa na siwezi vaa nguo kubwa itanitosha inayo nifaa

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like