pesa

7 Plays

14 Apr 2023

Pesa kidogo nimeacha kula kiporo pesa kidogo sipiti kwenye chororo pesaa dada uko sawa kaka sina miujiza pita na kanga usiku nikuoneshe nguvu za Giza mmmh nimesoma kingereza mpaka niwemazidi mwizi watoto ndo anaitwa wizkid then sirap kwa pupa floor zangu hai na hawezi kushuka kama sikio la Masai cheki nivyolinga na biti najidai maana nishajikopesha sizani kama naweza pay kwahiyo ndo sisahau nilitoka kibishi nawakilisha ×2 Ninavyoviona mpaka macho nafikicha maana ni mengi that way nayaficha tena nimeyaficha kwa chest siri kama taulo gesti halafu mwambie beibe apunguze uchokozi bora kugusa nyanya kuliko kuchomoa betri ×2 hukumu ya kifo naisoma hakimu mkazi Dada danga kiakili haina pensheni hiyo kazi mmmh eti salamu maria salamu Dada zetu kumbe bwana msiye mchuna amebaki bwana yesu usikariri maisha hata nikesema yechuyechu nimsemo me chuga sio kwetu anapenda ngono WhatsApp anajiita king akiona group la x anaomba link juzi kakuta group limeandika tunauza titi akaomba link akakuta baba yake admin amin usiamini ninisasa mwanaume ndo wapishi haswa ndizi moja yai mbili natui la nazi hufanya mwanamke ashibe miezi tisa In the church pastor anaongoza misa pembeni nimekaa na bonge sister nikamtumpia voko si akapiga kelele sitaki niache nimesema uniache mwenzako mbona balaa sasa watu wote macho kwangu wakaleta me sio choko palepale nikasema nikuachi mpaka yesu aingie ndani yako pastor si akanipigia makofi akasema kijana uko safi nikamshinda yule demu kiroho safi Chupu chupu ndo mwizi huponea tupu tupu ndo mtoto hutokea jicho kavu linasubiri umbea ukiona jicho kungu ujue mdudu kaingia

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like