Jimmy Ryzz

jimmy ryzz

Jimmy Ryzz
jimmy ryzz

8 Plays

04 Apr 2023

I dont do it, 4 the sake, sitachoka na confesss, mloSemap siwez hiphop, kwangu, haijakuwa case,..Hamnitishi mi naujuzi Verse zangu hazikopeki,chuki zenu changamoto kwangu hazinipi stress,mlimitusi round hii itawacost Am ready for the game ONA A nmedinga jez Mwanamgambo nko vitani, Thanks mama for your blessing, mi mwanao Napambana maisha yatakuwa fresh,am proud nawainspire mpaka walokuwa wanahate, Ninavyospit fire fire rumors Eti mi ndo best,* Ona vile wananigwaya, wakiniona Wana tense, wa najua mi ni mbaya,Sina time na revenge Niko focus Ile mbaya mwanangu wasikose fees,Napambana Sina ubaya ndo Japo nipate pay,Nko sure ninacho fanye maisha yatakuwa okey haya maisha nisiyaotee, one day nitakuwa Okey,one day Verse 2 Kii malengo hatuko Sawa, nyi ustar na madem, wako busy kwa mitandao Daily Ni kusaka fame,, gadem nyi mahuluki kwenye fan mnaua Game, Round hii hamna chenu itabidikureform Newplan nko venue, nimeteka hii mitaa Na busara naona mbali kaa mkuru aliekaa, Hiphop kwangu, fimbo ndo, na imani ya Musa, Na safari, nilioianza siezi rudi nko far Dream life inanistab mwilini imeniachia scars Maisha yenye, ni mabovu, Tena unakata tamaa kaza boot, siachi dua, only God atakufaa USiamini wanakujua, ndo masnitch ukabisa Watasifu unajua, kumbe ndo unavujisha, Hii game sio vita muda hubadilika Unamwamini hutumia Kinga baade Atakwambukiza Mshajua mi na talent, si ni support

2 Comments

Leave a comment

Keep grinding ✊

1 year ago

You may also like