Jimmy Ryzz

jimmy ryzz_rest in peace dad

Jimmy Ryzz
jimmy ryzz_rest in peace dad

11 Plays

04 Apr 2023

Aliniambia ni pambane kwa hii safari ya maisha, Nikianguka nsiiname niamke nizidi kwenda ni pambane niwe iposiku ntafaulu, yote akiambia Sikujua ntampoteza April tarehe 6 ndo baba alipotuacha kavuta mbuzi ya mwisho Ata bila ya kutuaga mungu Kam chukua mahali pema kamuekaga Ilizizobaki ni dua si wanawe tunamuombeaga, Mama hajapona Kila siku ywaakuwaz,ulifunga macho daima, ningeeza ningekukataza,wap tuegemee we ndo nguzo na mwangaza, ULITUACHA njia panda tukakosa la kufanya, sahii miaka mitano inapain kama Jana,uchungu ninaosikia Sina mfano wa kupeana I wish ungekuwa Hai, uone mtoto wangu, msichana, aliona picha yako, babu Akaanza kuitana, nikatoka na machozi nisijuie la kufanya, mungu akurehemu baba, ipo siku, tutakutana ipo siku tutakutana You have done a lot in your life for us to thank you for. Tunakushukuru R Tunakupenda sana Rest in peace Mr William ya munguyuko we miss you dad ,

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like