Jimmy Ryzz

jimmy ryzz_ haters

Jimmy Ryzz
jimmy ryzz_ haters

9 Plays

01 Apr 2023

I dont do it, 4 the sake, sitachoka na confesss, mloSemap siwez hiphop, kwangu, haijakuwa case,..Hamnitishi mi naujuzi Verse zangu hazikopeki,chuki zenu changamoto kwangu hazinipi stress,mlimitusi round hii itawacost Am ready for the game ONA A nmedinga jez Mwanamgambo nko vitani, Thanks mama for your blessing, mi mwanao Napambana maisha yatakuwa fresh,am proud nawainspire mpaka walokuwa wanahate, Ninavyospit fire fire rumors Eti mi ndo best,* Ona vile wananigwaya, wakiniona Wana tense, wa najua mi ni mbaya,Sina time na revenge Niko focus Ile mbaya mwanangu wasikose fees,Napambana Sina ubaya ndo Japo nipate pay,Nko sure ninacho fanye maisha yatakuwa okey haya maisha nisiyaotee, one day nitakuwa Okey,one day Verse 2 Kii malengo hatuko Sawa, Nyi ni ustar na madem Mkobusy kwa mtandao tuh mnagombania fame, gadem nyi mahuluki kumbe mnaua Game, Round hii hamna chenu itabid kureform Fresh blood, niko venue minaroga hino fan Nime pagawa naona mbali Kaa mkuruu aliye kaa, ,Hiphop kwangu, kama fimbo Ndo naimani ya Musa, Na hii safari, Nilioanza, siezi rudi nko far, Nilianza cheza na maneno,wakadai najenga bars, Nikawa show hamna wasi, waende waka kumwaga razii, Walitaka nkawapea sahii hawatukataz, walipenda yangu flow sahii kwangu Hawatoki, kwa dm wamejazana , wakinisifu mi ni mdope, Niendelee kufanya mziki

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like