Calvin Ngede
Calvin Ngede

Ninja (15:00)

Ninja (15:00)

25 Plays

16 Mar 2023

nawauzia hiz njaa kweny ukame usio na shibe daily nautoboa ustaa wapinzan naomba muuzibe,maisha yamenifanya niandike hii mistar Mungu kanipa hiz chanya huku hasi kazieka mbali hili biti la mkulima kama jembe la sadali kweny shamba la mapera mhuni kaingia na gar, maneno kidogo pesa nyingi, mbu mweny kelele ndo wakwanza kufa kumshinda pimbi,like faza like son kama dogo kama dingi,wote tunawasha moto kwenye pori la mahindi,hili biti naflow kama sitaki, ukinikuta nimelala ujue nipo kwa kamati,

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like