kidoo grapher
kidoo grapher

4 figuree💯💢💦

4 figuree💯💢💦

15 Plays

14 Mar 2023

Wajusee wajusee n ganse Ni og ni real yaan fulu bn Sija bonyeza  diko Na madeni kitaa Life lime tight Hakuna cha ma paty Vipesho vyote vimekimbia Kwa ku ni maind Tunapiga day Nyumbani kwa baba mkwe Zege kama kawa kichwani kutwa upupwee Ilaa siwazi johh si ninazisakaa doo 4 4 figure , 4 4 figure, 4 4 figure      4         4 figure                       ×20 Ukasi ndo ki2 najua Usije ukaja zingua Misokoto kibao na toa Na kandoro amesha tokea Tupo ground na wana wa she Tunalipuka ma shada ndo ngaaa Mavoko nae amesha pokea Na fupii lainii jombaaa Ma location kibao ni wenyee Ata kwa soldier wajuba shendelee Ni uhakika hamna ata wengee Ma rivexi ku share ni veree Ngoja ni wa pange Na nianze na masela Maselaaa ehhhhh Kwl nyi ni wana  wana wana wana Hili lifee banaa Ni lzm kupambana Ukikaaa ki ree ahh litakubana Lifee banaa Unachopata kwa molana Kishike xn Usije ukachanganya Na zao dramaaa Maana dahh Wachawi njee njee Hirizi kila kona Si Tunaona ni fanii Wanaomba tufeli Ramli zao wengi Dramaa tusha vuka vingi Wanarusha nginya Mbuti ndo usisemee Dahhhhh haikorogiii Ehh mjomba angu juzi kati apaa Sinili otea zalii ya baba mkwe Wakaja ma snitch wakachoma game mzee Mjuloo nikaitwa paaa enhee Mbn km apa mistaki imetendek Ehh si tuka ngolewa day yetu apoo Na kibarua kikiaota nyasi mkush Na bd mtt ake anataka asuke babaako Mchiiiw mamaae....aisee aireee mjomba

2 Comments

Leave a comment

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

1 year ago

You may also like