Calvin Ngede
Calvin Ngede

freestyle 01

freestyle 01

29 Plays

13 Mar 2023

mistari imejaa kwa kichwa hadi mzungu namuona mbongo,life imekunja ndita hadi biti naiona msondo,kila nkiona maik mistar inajaa kwa ubongo,napambana kila siku niachane na kula ndondo,yan muzik naup3nda lakin bdo sitoki,hili jasho la kalenda lakin siku hazichoshi,siku ya kujaa difenda ndo sku kuvunja koki,na ndo sku ya kuvaa ndala ambazo hazitosh. (oya wanangu nimevuta) alivuta pumzi ya mwisho imekatakata mazma,king mapiano costa titch umetuacha yatima,masela wanawaza et ngede navuta bangi,wakati navuta mkwanja kweny benk za warangi,sidangiiii kidume najituma na siringii,ukinichek ninang'aa utazan naogea jikii (oya wanangu nimevuta) nichovuta mim masela taka kujua, nikiwaambia mbona wanangu mtanilipuua,sema ukwel bro hamuwez kunibutua,bas changen michango niwaambie wanonijua, (chorus)

7 Comments

Leave a comment

1 year ago

wish this was in English it wud be a dope ass track bro

1 year ago

⛽🔥⛽🔥⛽🔥⛽🔥⛽🔥⛽🔥⛽🔥⛽🔥⛽🔥🔥⛽⛽🔥🔥⛽⛽🔥🔥⛽🔥🔥

1 year ago

mistari imejaa kwa kichwa hadi mzungu namuona mbongo,life imekunja ndita hadi biti naiona msondo,kila nkiona maik mistar inajaa kwa ubongo,napambana kila siku niachane na kula ndondo,yan muzik naup3nda lakin bdo sitoki,hili jasho la kalenda lakin siku hazichoshi,siku ya kujaa difenda ndo sku kuvunja koki,na ndo sku ya kuvaa ndala ambazo hazitosh. (oya wanangu nimevuta) alivuta pumzi ya mwisho imekatakata mazma,king mapiano costa titch umetuacha yatima,masela wanawaza et ngede navuta bangi,wakati navuta mkwanja kweny benk za warangi,sidangiiii kidume najituma na siringii,ukinichek ninang'aa utazan naogea jikii (oya wanangu nimevuta) nichovuta mim masela taka kujua, nikiwaambia mbona wanangu mtanilipuua,sema ukwel bro hamuwez kunibutua,bas changen michango niwaambie wanonijua, (chorus)

You may also like