🎤djcoolbgmen🎧
🎤djcoolbgmen🎧

Djcoolbgmen -wewe

Djcoolbgmen -wewe

19 Plays

25 Feb 2023

Katuleta duniani Mi na wewe tupendane Sa vipi nikuache unataka mi nikonde Kwakweli umebarikiwa kuchagua najisifia Hata Mama nyumbani haishi kukusifia Sina cha kusubir kesho natangaza ndoa Sihitaji maisha yako nije niyatie doa Kwanza haubahatishi mapenzi unayajua Mtoto wa kitanga rafudhi ya kizigua Sirushi hata kofi pale ukinitibua Kisauti cha upole pale pale Mi nanywea Mahaba unayo nipa popote sijawahi kusikia Siku hizi nanenepa kwa penzi unalonipatia Penzi lako tamu tamu asali inasubiria Zuchu kanipa sukari lakini nikamkatia kwako nimefika niamini mama mia Mahaba unayonipa ata nguvu ya kucheat sina Kwako nimezama nimezamia mazima Hakuna wakunitoa penzi limenizidi kina Nimesha kupa moyo figo na maini pia Sasa kukuacha wewe sijui wapi ntaanzia

1 Comments

Leave a comment

You may also like