sampo

37 Plays

30 Jan 2023

msinitingishe kigu niko fresh, fresh kama Keshi, mkinikuta npo mjin kuhusu pesa weka deshi, nilichozoea nikustruggle sio vyepesi, na ngoma Dabo dabo,sijajibana kwenye verse, mna khee, ukinidiss utanipa kesi, nakiwasha kama gesi, kwenye muziki hunipotez, bado denzi, huu muzk una vitamin, vp unakichaa nini, kama hunioni dar,nipo mwanza unakataa nini, ngosha ni kama jeshi,hatuchekeshi ipo siku mtaniamini//// ikizmwa taa pale dar ebwana daah, si wanakaa, na bado inapepea bendera ya chama la mangosha,

1 Comments

Leave a comment

2 years ago

You may also like