Barut Hussein
Barut Hussein

freestyle

freestyle

79 Plays

28 Jan 2023

mh ndo mjanja..na mm c kaka sungura..bit inabamba akia mungu inachuna...mh ni hussein sio miguna miguna..kwenye hii game mh ndo nimebeba chuma... 😂 kwenye hii game mh ndo nmebeba chuma..staki uzala...unanikimbiza je utawezana...kwenye hii ligi wananiita baba yaga.. c wa tz mm c nay wa mitego...nfate utegue mtego...wakikuuliza wap nmetoka...wajibu roma ndio mjengo...kilifi county wananitambua...nimeanza jana na natusua...napiga mziki nifike ahatua..nimtunze mama asipigwe na jua

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like