Wizy
Wizy

watoto bado Ni wengi

watoto bado Ni wengi

119 Plays

25 Jan 2023

watoto bado ni wengi watoto wanawaza tu chupi nikifika mlango si gongi na sina stori na pupi stori hata hazijengi wanachowaza ni kula mitungi mi hayo mambo sipendi nachowaza ni guchi wanawaza kutrend nachowaza ni nusu kaputi kubembelezana no my frendi ukienda ukirud hunikuti labda ukirud naguchi au fendi maana unyamwezi ni buti utataka unapenda, upendi hii level kuchuja sichuji labda wayne,na kendri ila wizy ndo kiboko ya nuksi watoto nawaambia,wananambia hataki dagaa wanataka bia hiyo meza nawapakazia,wananisazia msala nawaachia,kibati kustuka muhuni kashawakimbia bebe nayo inalia,ikija naiangalia kumbe ndo stail za kuomba bia nailipia,italipia tumefika geto inaanza kulipia ina,ngangania naiachia,ina ikatikia,umeme unatukatikia,ila moto haujatuzimikia inaanza lia,shoo imezidi watu wanazimia tatizo ngoma kali ndo zinazomuingia naiambia mama we tulia tukitoka ni party na wahuni waachia .mi huyo kwenye zangu njia ruuuuu ruuu ruuuuu mapenzi kwangu ni no biashara mbele,nawaza tu doo nikikutongoza shtuka usije ukapitiwa owhh nafanya mziki nafanya kile,nafanya hiki tafta tafta mashabiki. producer leta hiyo biti kutoka mwanza nimeshika kijiti niwafikishe kule,mlikosema hapafikiki mwanza no kiki mwanza ni mziki mwanza ni mtiti kama unabisha njoo shika bika kwani vipi usinikompee na watoto too ngoma zangu tumbo joto too ni magoli mengi kama john boco coo chapa nyingi,wape nyingi viboko ngoma zangu wanaimba hadi vibogo yo tandahimba bado kuna makopo one army situmii mkongo marapa wanachambana utaskia tuh nyoko ko supermarket naisikia,nachojua kuna kariakoo huku kwetu fureshiii,vipi hukoo rock city stand up its me again wizy

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like