Dr. Angry

zozonge

Dr. Angry
zozonge

58 Plays

18 Jan 2023

mwanang zozonge uendapo naomba unikumbuke ukifika mjini naomba ujichunge na makundi haramu mana mjini kuna kaz haramu nenda kasome utukomboe nyumban wadogo zako we ndo msada ukiludi na kazi ndo tumaini soma sana soma kwa bidiii mwanang mjini huwendi kutalii nenda kasome huu usia mwanang nyumban kama uonavyo hali ni ngumu msaada elimu kilimo kishagoma wew ndo nuru so utukomboe kizani utushike mkono pale hatuoni mbele mwanang yangu hayo so ningependa uende nayo asante mama kwa nafas ulionipa wangekuwa wengine isingekuwa hivi naahidi hii nafas sito itupa ntasoma kama usemavyo ntakukumbuka daima kwa nafas ulonipa next day ilikuwa safal mwanza to dar ilikuwa first day nani anajua future kumbe ilikuwa worse day yeah aaah ahhh kutokujua vip wanaishi kila mmoja alimwona happy kumbe jiji la maumivu usipokuwa care utaishia kulia kwa pain mwana new come kama mwez is gone akawa fiti kasha fiti kwa jiji akuacha kustudy kwa tulio mjua alikuwa ana study hard alikuwa na future vipi familia yake ingeishi gudi now nipo msibani sijajua kipi kili happen naskia mchizi alijitundika alikosa ushauri baada ya mapenzi kumuumiza noooooo rest in peace we love ma nigga mapenzi mwana kwenda mchizi ameshasepa nkikumbuka zile time tunacheka ndo na feel lonely na maumivu yakumkosa mchizi

9 Comments

Leave a comment

2 years ago

Nice. #checkoutmydancekb Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

👌🏾 Bars: Can improve 👏 Delivery: Can improve 👏 Impression: Can improve 👏

2 years ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like