hh

26 Plays

20 Dec 2022

vipi tungeishi local vipi tungeishi our life nigga wana smoke kuskip hizi day watoto zao wanasoma China sisi tuna wait boom na halitokei na ajili jeshi vipi tutakompite wakati tunashindana na wenye viti na raia pacha hawataki vipi nitakuwa free kwenye democracy iliyozaa mabavu aliye mwema ndo atabaki mfukoni na 10 k ila bado haikizi maitaji nipo kenya naanzisha mtaji so choas tunapambana kwa hii pease god bless tuwe free kwa upofu wa mali sadali ndo kosa ila mkulima kapewa kibali shujaaa ndo aliye uza nchi utajaji wakati huna ajila na ulipo kiza tangu usiku ulipo ingiya chuo English nilazima ila elimu ya kilimo wanazima na mtaani hajila hakuna hata kutafsili kwenye mabanda ya sinema tukisoma tujiali na tukijiajili wanasema tusome sa bola elimu au pesa kipi bola kitanyanyua taifa huku mtaani kma hell kuna vilio vya kutosha so suti usiogope braza mana ajila uzoefu miaka 10 wakati ndo nimemaliza home kla mmoja job less sa vipi nita proves ka mm ni mvivu tushachoka na sauti za kusema tumemaliz kama vipofu hatujui tuendako nawaza vip tungeish local au vip tungeishi our life

2 Comments

Leave a comment

2 years ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like