pray

37 Plays

19 Dec 2022

Nifike tu kwake nasiwezi delay Naogopa sir God kila siku na pray Aweze niganji nifike mabei Najua kwake kuna gold hadelay My Lord hii dunia life ni hard inafanya tunapitia kwa pain Sometimes tuna loose hope tunaenda astray nabado hatugain Tunarudi back again and againplease tinasaidie tuzoee hii pain Bila your touch tunaloose momentum hadi tunaogopakupitia hizi pain Ndo maana hatugain No pain no gain only bad things inakuja inastraight lane Kuna difficulty ndo tupate productivity Ni reality kuumia kwa jua ndo tutulie kivulini Lazma uiname ndo upate cha mvunguni Mungu nipe nguvu uniongezee misuli Niweze kushindana nisiogope kuingia vitani I should pray every day nikue na mwangaza tu kizani Nguvu zako zatosha hazina tu mizani bullet proof kwa marisasi ya shetani na wafwasi wachawi nipige protection magonjwa unipe injection look about futere sometimes shetani ananchocha na mafilter naanza kubabaika lakini we hunishikilia nakunipiga malighter unaniondolea kiza unanpa hope ya kushinda hizi vita naombotoa msamata kwayambatale nimenyatafa ndipoto hizi shida uniekee daraja kijana wa mazaza jin na moshi hunifwatama nionyeshe kupungutuza nisisahatau mboka Bwana ndo maana kila siku mi naabudu nainamata Mungu nipe nguvu nipetepe uwezo wa kuzitikiza nakushompotoa manemtono ya matamanatapa

2 Comments

Leave a comment

1 year ago

Bars: Perfect 💯 Delivery: Perfect 💯 Impression: Perfect 💯

You may also like