Broderick
Broderick

General makutesa

General makutesa

47 Plays

16 Dec 2022

Jea jea jea,cheki niaje msupa unatoka area code gani ?,,tuma location nikam niku picki na piki piki..niko na akina Vini..sinthy na vickie cheki...kwa Mike mi na tesa niite kabaka mutesa juu ya vile na watesa cheki vile na tema tenses adi wana tense ...kwa hii game mi ni spitter niite mtemi.. Bro nitakukula na ni kuteme,,,Cheki nlitupa sumu kwa river so nlikill the flow don't confuse msanii akisema alikill the show ,,mahaters wame jivalia ngozi ya kondoo ndo wani con-doo za show Nipe chorus :wame jivalia ngozi ya kondoo meeee kule ndani mbwa mwitu wuu wuu,, Sorry haiterers am the Goat meeee....

4 Comments

Leave a comment

2 years ago

love that hypothesis vibe with the low key lyrical shift ⚔️⚔️🥷⚔️⚔️

2 years ago

thats swahili rap thanks 😊

2 years ago

not bad bro gotta keep moving forward cool rap

You may also like