Wizy

wizy

Wizy
wizy

31 Plays

15 Dec 2022

its wizy wat the shit tuko kitambo tunapambana,tunakazana.wanafiki wazidi kuminyana.na hatujaacha tunafanya wanaona mchicha ni nyama. ebanah dah.ndoto kwetu ilikua nikufika dar.mpka dah hakuna raha.hapo ndo nikajua maisha karaha.bila chapaa vitabaki kung'aa na hakuna njaa kama maisha ni raha. nashukuru mungu kwa kunipa mama mtafutaji.ili watoto wake tuishi kwa mtaji wa samki mungu amenipa kipaji.nakipambania kama taji nasitoacha mpka nipande ngazi.muziki ndo yangu kazi na kazi juu ya kazi wanaona hadhi .natema radhi kwa marapa wadogo niko full chaji. hizi mambo za wakubwa so usilete utoto.fimbo nyingi cox hamuend bila viboko.natia kambani kama bocco.vile naua kwenye beats utasema mocco so usijeleta utoto

5 Comments

Leave a comment

2 years ago

thank you.i will give one in English for you

2 years ago

Very good & Need more energy and plus need a version in English too

2 years ago

fine bars not so bad old school fire track

You may also like