Crazytrigah
Crazytrigah

freestyle cypher

freestyle cypher

13 Plays

13 Dec 2022

teremsha hyo kamisi mi sikutaki hata ukuje na mini unataka hyo ndizi news inasema umebeba ukwimi napenda kitu safi yenye nashika hadi nailamba naulimi niliumba kusuka wasupa siumbwa kusukwa na wasupa we unataka kunikuta venye wenzako walikuruka umeumbwa sura alreedy mbona msupaa huezi kusukwa we ni sugar mamy nani alisema si tunadate wazazi mi nataka kitu safi malisafi ndo nasaka maganji haraka haina baraka ndo sitaki kitu ya haraka bila baraka no woman no cry dats the truth never lie nimesema woman mi nikijana sitaki wamama nataka wasichana hyo shada si preasure ikivutavuta itakutolea ungwana I was born tu sweat and eat not born to seat and feed this world imebeba meno kali ukikubeba itakumeza mi nataka nimfika siku yakwanza niweze kulengwa mi nataka kupewa kazi siku moja nimwage machozi nataka nikumuona na roho yangu inakufa na mapenzi nataka unipe wivu hata nikukuona na mama mzazi nataka shore mdogo mzuri wenye ananitosha umri mi nataka life ya kiposh yenye nimesaka nime own mi nataka kitu kizuri chenye kinajiuza ndani ya soko mi sitaki pesa zako heri nife namsoto unaletalight na hapa hatuoni giza ni reality huoni hapa tuko kwa kisa uko emmotional juu canabis sativa unaheartbrekiwa na ule dem wa mafilter hauko sawa broh unachoma picha ju unapreasure za kutaka kuwa featured ndo maana huoni sifa zako zinamwagika naunaringa na juzi ulikuaga na jiggers hawa mafala wamechoka kukusikiza wanasema ngoma zako hazinanga mafeatures tuko ndonyo juu ya mahead leta lighter zikishika huezi jua zimeshika zikishika sana kunywa maji wacha ujinga juu ya kashada hakuna mtu anakunyima toka siaka hyo fedi atakushika usisemee ni msanii ye hanyiti na mirista ukipelekwa mneti ndo utajua hii kitu ni serous punguza preasure hakuna kitu ya kudiscuss juu hawa mafala kila siku watakumisjudge hawa na sense kunywa maji pewa glass watishindwa wakumbuke uliwashinda class foreget about the past think about the futere kitu ya bure ndo hukuja tu haraka bila sadaka na inaisha haraka cheki msupaa cheki mimi nakuwaza na ukinipenda usifanya moyo wangu sadaka mi hua abudu naweka Mola mbele kwanza ndipo hizi shida aniwekee daraja unaletalight na hapa hatuoni giza ni reality huoni hapa tuko kwa kisa uko emmotional juu canabis sativa unaheartbrekiwa na ule dem wa mafilter hauko sawa broh unachoma picha ju unapreasure za kutaka kuwa featured ndo maana huoni sifa zako zinamwagika naunaringa na juzi ulikuaga na jiggers hawa mafala wamechoka kukusikiza wanasema ngoma zako hazinanga mafeatures tuko ndonyo juu ya mahead leta lighter zikishika huezi jua zimeshika zikishika sana kunywa maji wacha ujinga juu ya kashada hakuna mtu anakunyima toka siaka hyo fedi atakushika usisemee ni msanii ye hanyiti na mirista ukipelekwa mneti ndo utajua hii kitu ni serous punguza preasure hakuna kitu ya kudiscuss juu hawa mafala kila siku watakumisjudge hawa na sense kunywa maji pewa glass watishindwa wakumbuke uliwashinda class foreget about the past think about the futere kitu ya bure ndo hukuja tu haraka bila sadaka na inaisha haraka cheki msupaa cheki mimi nakuwaza na ukinipenda usifanya moyo wangu sadaka mi hua abudu naweka Mola mbele kwanza ndipo hizi shida aniwekee daraja unaletalight na hapa hatuoni giza ni reality huoni hapa tuko kwa kisa uko emmotional juu canabis sativa unaheartbrekiwa na ule dem wa mafilter hauko sawa broh unachoma picha ju unapreasure za kutaka kuwa featured ndo maana huoni sifa zako zinamwagika naunaringa na juzi ulikuaga na jiggers hawa mafala wamechoka kukusikiza wanasema ngoma zako hazinanga mafeatures tuko ndonyo juu ya mahead leta lighter zikishika huezi jua zimeshika zikishika sana kunywa maji wacha ujinga juu ya kashada hakuna mtu anakunyima toka siaka hyo fedi atakushika usisemee ni msanii ye hanyiti na mirista ukipelekwa mneti ndo utajua hii kitu ni serous punguza preasure hakuna kitu ya kudiscuss juu hawa mafala kila siku watakumisjudge hawa na sense kunywa maji pewa glass watishindwa wakumbuke uliwashinda class foreget about the past think about the futere kitu ya bure ndo hukuja tu haraka bila sadaka na inaisha haraka cheki msupaa cheki mimi nakuwaza na ukinipenda usifanya moyo wangu sadaka mi hua abudu naweka Mola mbele kwanza ndipo hizi shida aniwekee daraja

1 Comments

Leave a comment

1 year ago

You may also like